![]() |
Advertisement |
MAHITAJI
π§π»♂️Majani ya muarubaini
π§π»♂️Mafuta ya nazi/Mafuta ya mnyonyo
π§π»♂️Shower cap
JINSI YA KUFANYA
π§π»♂️Chukua majani yako ya mwarobaini yaoshe vizuri
π§π»♂️Chemsha majani hayo ndani ya dk 10 hadi 15
π§π»♂️Chuja mchemsho huo kisha upate maji ya miarobaini
π§π»♂️ Ongeza vijiko viwili vya mafuta (utakayochagua wewe)
π§π»♂️Weka mchanganyiko huo ukae masaa 12 ukiwa umetulia ili kupunguza nguvu
π§π»♂️Baadae osha kichwani huku ikisugua ngozi ya kichwa na mchanganyiko huo
π§π»♂️Ukimaliza vaa shower cap na kaa nayo kwa muda wa dk 30
π§π»♂️Kisha osha nywele zako na maji safi
NB: Majani ya muarobaini yana faida nyingi sana kwenye nywele ikiwa ni pamoja na;
πKutoa na kuzuia mba
πHuzuia nywele kukatika
πKutibu mapunye, vidonda na miwasho
πKufanya ngozi ya kichwa ilainike na kurelax.
0 comments: