![]() |
Advertisement |
Hizi ni baadhi ya sababu kwa nywele kukatika
π§π»♂️Namna ya kustyle na kubana nywele kwa kutumia gels mbalimbali na kukaa nazo muda mrefu
π§π»♂️Detangling isiyo sahihi (kutumia nguvu na kufanya haraka haraka)
π§π»♂️Viambata sumu (harmful chemicals)
π§π»♂️Misuko hatarishi inayokaza sana nywele
π§π»♂️Overstyling (kubana sana nywele kwa muda mrefu)
π§π»♂️Kukosa umakini na nywele zako
π§π»♂️Kutotumia vifaa sahihi
π§π»♂️Kukosa unyevu na kutreat nywele zako zikiwa kavu
π§π»♂️Njia za kutunza nywele zisizo sahihi
π§π»♂️Kudetangle nywele kavu
π§π»♂️Kutokukata ncha
π§π»♂️Kutopata mlo kamili na kutokunywa maji ya kutosha
π§π»♂️Kuzipa nywele zako protein nyingi (Too much protein treatment)
π§π»♂️Kukosa kabisa protein
MOST IMPORTANT: Zipende nywele zako nazo zitakupenda na hayo yoteππΏππΏ unaweza kuyafanya endapo tu utazipenda nywele zako
0 comments: