Wednesday, June 24, 2020

KANUNI 10 ZA KUWA NA NYWELE NZURI

ad300
Advertisement

🧚🏻‍♂️ Jua jinsi ya kuchana nywele zako kwa usahihi

🧚🏻‍♂️Jua jinsi ya kufumua nywele zako kiusahihi na jinsi ya kuzitunza wakati umefumua ili kuzuia kukatika.

🧚🏻‍♂️ Jinsi ya kubana na kusuka nywele pamoja na kuchagua mitindo rafiki kwa ajili ya nywele

🧚🏻‍♂️Treatments za  kufanya katika nywele zako
  - Steaming(deep conditioner)
  -Protein treatment
  -Hot Oil treatment
  -Hair mask
  -Leave in conditioner

🧚🏻‍♂️ Jinsi ya kupaka mafuta kichwani

🧚🏻‍♂️Vitu vya msingi vya kuwa navyo kabla haujaanza kuhudumia nywele zako

🧚🏻‍♂️Vitu vya kuepuka katika kuhudumia nywele zako

🧚🏻‍♂️Kwanini umeamua kuwa na nywele za asili

🧚🏻‍♂️ Una malengo gani na nywele zako

🧚🏻‍♂️UVUMILIVU
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: