![]() |
Advertisement |
Njia hizo zinaoneshwa vizuri kwenye picha hii ππΌππΌππΌ
C= Cream (Unaweza tumia Shea butter au Mango butter)
O=Oil (Hapa tunatumia carrier oils kama vile Black Castor oil, Coconut oil, Olive oil, Jojoba oilnk)
L=Leav in Conditioner/Water based conditioner (Unaweza tumia ambayo inaendana na nywele zako, ila ambayo imezoeleka ni brand ya Cantu au Antie Jackies Leave in conditioners japo unaweza tumia ya asili ya kutengeneza mwenyewe nyumbani kama Vile Gelly ya Aloevera au ya bamia.
0 comments: