Friday, December 6, 2019

43. FAHAMU ZAIDI KUHUSU BIG CHOP (KUKATA NYWELE ZOTE)

ad300
Advertisement
Big chop ni nini?

Big chop ni kitendo cha kukata nywele kabisa na kuanza safari mpya ya nywele za asili.
Watu wengi hufanya big chop kutokana na kuharibika kwa nywele zao na kupoteza mvuto halisi wa nywele.

Baadhi ya  sababu zinazopelekea nywele kuharibika ni:
🧚‍♀️Matumizi ya kemikali yakizidi katika nywele; nywele inakosa  afya na mvuto.
🧚‍♀️Matumizi makubwa ya moto wa aina yoyote ile kwenye nywele.
KUMBUKA: Moto ni adui mkubwa wa nywele  za dawa na zisizo na dawa (natural) na nywele za dawa (relaxed)
🧚‍♀️ Nywele kukosa afya na kuwa nyepesi kwa sababu ya kuzistress nywele, kutodetangle ipasavyo au kuchana nywele kila wakati.
Ukiona dalili kuwa nywele zako hazina afya nzuri   unashauriwa kufanya bigchop na kuanza upya kabisa.

NB: Unashauriwa  kutumia products  zinazoemdana na nywele yako
Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: