Thursday, May 25, 2023

JINSI YA KUZUIA NYWELE KUKATIKA (NYWELE NATURAL/ZENYE DAWA (Relaxed)

ad300
Advertisement

 

 


Moja kati ya matatizo mengi ambayo yanawakumba watu wanaopenda nywele zao (hasa natural hair/nywele asili) ni kukatika (breakage).


🧚‍♂️Hapa tuelewane kitu kimoja, kwanza kuwa na nywele asili sio tatizo ila tatizo kubwa ni jinsi tunavyozitreat au kuzitunza nywele zetu.


🧚‍♂️Nywele huweza kukatika kwa sababu ya mambo ya hormone (kwa cases chache) lakini 90% inatokana na jinsi tunavyozihandle.

Inaweza kusababishwa na;

🌺Aina ya msuko unaosuka

🌺Aina ya bidhaa unazotumia kama zina viambata sumu

🌺Kitambaa unachofunga au kuvaa

🌺Hali ya hewa na aina ya maji ya sehemu husika

🌺Vitu unavyokula/Chakula

🌺Kutokunywa maji ya kutosha

🌺Kutumia moto mara kwa mara


Njia unazoweza kutumia ili kuzuia au kupunguza tatizo hili;

Kabla ya kutafuta njia ya kuondoa tatizo kwanza inatakiwa kutambua chanzo cha tatizo taratibu kama vile unavyotafuta chanzo cha allergy, mwishoni lazima utagundua chanzo cha nywele zako kukatika.

💐hakikisha nywele zako zina unyevu (well moisturised) wakati wote.

💐Zingatia aina ya misuko, nywele isivutwe sana na kupewa pressure kubwa (ngozi ya kichwa irelax)

💐Tumia LOC method kila unapoosha nywele zako.

💐Epuka kutumia moto mara kwa mara.


ITAENDELEA....




Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: