![]() |
Advertisement |
SABABU ZA KUWA NA NYWELE NYEKUNDU NA NYEPESI
๐ง๐ป♂️ Kupaka paka madawa nywele; Hii hupoteza rangi halisi ya nywele ambapo wengine huwa na nywele nyekundu hata kama zilikuwa nyeusi.
๐ง๐ป♂️Kutumia moto mara kwa mara kama vile kublowdry, kupasi na kunyoosha nywele kwa kutumia moto.
Katika mazingira hayo unaweza kutumia vifuatavyo ili kurudisha volume na rangi halisi ya nywele.
๐ง๐ป♂️Baking soda: Hii inatumika baada ya kusafisha nywele zako na kuwa safi.
JINSI YA KUANDAA
๐Pima vijiko vitatu vya chai (vile vidogo) vya baking soda
๐ Unachanganya na maji
๐ Unachanganya vizuri mchanganyiko wako na unatumia kuoshea au kusuuzia nywele.
Hii inasaidia sana katika kuleta rangi halisi ya nywele.
๐ง๐ป♂️Asali na mafuta ya mzeituni (Olive oil): Hii inasaidia kwa wale ambao wana tatizo la muwasho au kupata tatizo lolote kichwani huenda nywele zinakatika bila wewe kujua, tumia vitu hivyo vitakuweka sawa.
JINSI YA KUANDAA
๐Chukua asali vijiko viwili (au utakayoona inatosha)
๐Pima na mafuta ya mzeituni nusu kikombe.
๐Changanya vizuri mchanganyiko wako
๐Paka vizuri kwenye eneo lenye tatizo
๐Unaweza kuvaa shower cap au ukaacha ivo ivo
๐Acha kwa kwa muda wa dakika 20 hadi 30
๐Then osha kwa maji ya baridi.
Nikisema sehemu yenye tatizo namaanisha kama nywele zimepukutika au una mba wanaosababisha unajikuna sana nk.
๐ง๐ป♂️Papai: Hili linasaidia kwa watu wengi maana wakishaweka dawa kichwani huwa wana tabia ya kutaka kuzikata ili wazilinganishe huko saloon, lakini steaming hii ya papai ambayo unaweza kuifanya nyumbani kwako ina uwezo wa kuzifanya nywele zako zilingane.
JINSI YA KUANDAA
๐ Chukua yogurt kiasi
๐ Papai nusu,
๐Vichanganye kwa pamoja (au blend kiurahisi zaidi)
๐ Kisha baada ya hapo paka mchanganyiko huo kwenye nywele zako
๐Vaa shower cap au steaming cap
๐Acha kwa muda wa nusu saa
๐ Osha kwa maji ya vuguvugu.
Nywele ndefu kwa ujumla: kuwa na nywele ndefu
๐Chukua yai moja
๐Mafuta ya mnyonyo (Black castor oil) vijiko vitatu
๐Kijiko kimoja cha Vinegar
Changanya kwa pamoja kisha paka nywele zako acha kwa muda wa dakika 30 kisha osha.
0 comments: