Friday, August 13, 2021

STEAMINGS ZA NYWELE ZENYE MCHANGANYIKO WA YAI

ad300
Advertisement

 


🧚🏻‍♀️Yai + Mafuta ya mzeituni (Olive oil)


🧚🏻‍♀️Kiini cha yai + Mafuta ya mzeituni (Olive oil)

-Mayai mawili + kijiko cha chai cha mafuta

πŸ“ŒHutibu nywele kuwa kavu sana/Hulainisha nywele


🧚🏻‍♀️Ute wa Yai + Jelly ya Aloevera

-Mayai mawili + vijiko viwili vya aloevera

-Hii inachochea ukuaji wa nywele


🧚🏻‍♀️Yai zima + Mafuta ya nazi (coconut oil)

-Yai moja + kijiko kimoja cha mafuta ya nazi

-Husaidia katika ukuaji wa nywele


🧚🏻‍♀️Yai + Ndizi

-Yai moja + ndizi moja iliyoiva vizuri + kijiko kimoja cha mafuta ya mzeituni

-Husaidia katika ukuaji wa nywele na pia ndizi ni muhimu katika kupambana na ukavu wa nywele.


🧚🏻‍♀️Yai + Parachichi

-Parachichi nusu + kiini cha yai moja

-Husaidia katika ukuaji wa nywele na kujaza nywele


🧚🏻‍♀️Yai + Mafuta ya Mnyonyo (Castor oil)

-Mayai mawili mazima + kijiko kimoja cha chai mafuta ya mnyonyo

-Husaidia katika ukuaji wa nywele

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: