Tuesday, August 24, 2021

KWA NINI NYWELE ZAKO NI KAVU NA ZINAKATIKA SANA?

ad300
Advertisement

 

nywele zetu

1. Unatumia/Unapaka mafuta kwenye nywele kavu


2. Haujui hair porosity yako kwa hiyo inakua ngumu kujua namna ya kutumia/kupanga bidhaa zako.


3. Unatumia protein sana kwa nywele yako.


4. Hufanyi deep condition/Steaming mara kwa mara


5. Unaosha sana nywele kwa shampoo mpaka unaondoa zile natural oils


6. Unatumia maji tu kumoisturize jaribu kuongezea mambo mengine kama vile..eg Hair tea ni nzuri sana


7. Hautumii Satin Bonet/kofia ya satini/Kitambaa cha satini wakati wa kulala


8. Nywele zinahitaji trimming/ kukata ncha na haujagundua hilo


9. Unatumia Drying DIY’s hair treatment bila kuapply moisture ya kutosha. 


 

JE, Ni sababu ipi inakusumbua wewe binafsi?

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: