![]() |
| Advertisement |
Ili kuelewa vizuri nywele ambazo ni low porosity angalia somo Namba: 15. TAMBUA AINA YA NYWELE ZAKO NA JINSI YA KUZITUNZA
๐Lakini kiufupi kama una nywele zenye low porosity, ina maanisha structure ya nywele yako haipokei/ kukubali moisture/unyevu kirahisi na kuwa absorbed kwenda kwenye hair shaft.
๐Low porosity hair hazihitaji protein sana kwa kuwa zina protein natural zenyewe
๐Low porosity hair zinakuwa protein sensitive; Kwa hiyo ni vyema mtu mwenye nywele zenye low porosity kukaa mbali na bidhaa zinazotengenezwa na proteins.
๐Bidhaa zenye proteins sana zinaweza kufanya nywele zako kujiskia brittle na pia kufanya zikatike kirahisi.
๐Mfano mafuta ya nazi hayawezi kuwa mazuri kwa watu wenye nywele zenye low porosity.
INAENDELEA...





0 comments: