Saturday, August 7, 2021

JINSI YA KUTUMIA TANGAWIZI/GINGER KUTIBU MBA NA NGOZI YA KICHWA.

ad300
Advertisement

 


Tangawizi/ginger ina madini mengi sana ambayo ni muhimu kwa ajili ya nywele na ngozi ya kichwa pia.


Tangawizi/ginger ina madini kama vile;

🍒 Magnesium

🍒 Potassium

🍒 Phosphorus

🍒Vitamins


🌺FAIDA ZAKE

-Ni antifungal

-Ni antiseptic

-Inachochea ukuaji wa nywele.


MAHITAJI

-Tangawizi kubwa 1

-Mafuta ya kimiminika (coconut oil/Olive oil/castor oil/jojoba oil)

-Asali kijiko kimoja


JINSI YA KUANDAA

🌿Osha tangawizi yako vizuri

🌿Isage vizuri kama vile juice

🌿Kamua kupata juice/maji ya tangawizi

🌿Ongeza mafuta kidogo (yoyote ya kimiminika unayoyatumia)

🌿Ongeza pia na asali kidogo

🌿Unaweza changanya na steaming nyingine yoyote unayoipenda.

🌿Paka kwenye nywele zako halafu vaa steaming cap.

🌿Baada ya hapo osha kwa kutumia steaming isiyokua na viambata sumu.


NB: Hakikisha tangawizi ni kidogo sana maana ni strong ukizidisha inaweza fanya kichwa kikauma na pia ikiingia machoni itauma.🍒🍒

Share This
Previous Post
Next Post

Pellentesque vitae lectus in mauris sollicitudin ornare sit amet eget ligula. Donec pharetra, arcu eu consectetur semper, est nulla sodales risus, vel efficitur orci justo quis tellus. Phasellus sit amet est pharetra

0 comments: